Zifuatazo ni hatua mbalimbali ambazo madawa ya kuongeza nguvu za kiume huchukua ili kufanya kazi mwilini mwako na madhara yako,mara tu yanapoingia kwenye mwili mwa mwaname.
DAKIKA 12 ZA MWANZO.
Baada ya dakika 12 za mwanzo madawa yananyonywa kwenye mwili wako na baada ya dakika 12 wale ambao hawasimamishi kabisa basi uume husimama baada ya dakika hizo.
BAADA YA DAKIKA 27.
Kama hukusimamisha baada ya dakika 12 basi utasimamisha baada ya nusu saa au ndani ya nusu saa.Wachunguzi wa maswala ya mapenzi wanasema kuwa wastani wa mwanaume kusimamisha baada ya kutumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume ni ndani ya nusu saa.
BAADA YA DAKIKA 57.
Baada ya karibia lisaa limoja kupita utakuwa katika "kiwango chako cha juu kabisa cha kusimamisha" kwa sababu madawa yanakuwa yamefikia kiwango cha juu kabisa katika damu yako.Ndiyo maana wataalamu wa maswala ya mapenzi wanakuambia lazima unywe hizo dawa lisaa limoja kabla ya kufanya mapenzi
BAADA YA MASAA 4.
Nguvu ya madawa ya kuongeza nguvu za kiume zinapungua baada ya masaa manne hii ina maana kwamba nguvu zitapungua kwa 50% mara baada ya kuzitumia lakini itawezekana kufanya mapenzi
BAADA YA MASAA 10.
Wachunguzi wa maswala ya mapenzi wanasema kuwa baada ya masaa 10 mwanaume anaweza akafanya mapenzi lakini haitakuwa na nguvu kama ile ya baada masaa 2 baada ya kutumia hizo dawa.
BAADA YA SAA 12.
Unaweza kusimamisha lakini haitadumu baada ya dakika 16.
BAADA YA MASAA 24.
Baada ya masaa 24 nguvu ya madawa na kemikali zitakuwa zimepungua na kuisha kabisa.Kwa kiasi kikubwa dawa itakuwa imepotea kabisa kwenye damu sambamba na hamu ya kufanya mapenzi vitakuwa vyote vimekwishilia mbali
Lakini tujiulize madawa haya ya kuongeza nguvu za kiume yanafanyaje kazi?
Unapokunywa dawa za kuongeza nguvu za kiume kemikali iliyomo inayoitwa cGMP hupanua mishipa ya damu na kuifanya damu itembee kirahisi zaidi.
Wakati hilo linatokea,madawa huzuia kemikali ya asili iliyomo kwenye uume inayoitwa PDE5 inayopunguza kutembea kwa damu kwenye uume.Kwa hiyo inaruhusu damu iliyoko kwenye uume kutembea kwa uhuru zaidi kunakowafanya wanaume wasimamishe kwa mda mrefu zaidi.Kila mmoja anakiwango chake cha kunywa na kutumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume kulingana na umri na kiwango cha upungufu alionao.
Chakula pia kinaathiri kwa kiasi kikubwa kuingia mwilini.Kutumia madawa ya kuongeza nguvu kuna maana ya kwamba lazima usubiri ili madawa yaingie kwenye damu kwa sababu yanakuwa basoyako kwenye chakula .
Wakari madawa ya kuongeza nguvu zakiume yanakubalika kwa kiasi kikubwa kama matumizi ya waliopungukiwa na nguvu za kiume,lakini bado wat hawajafungunguka kulizungumzia waziwazi.
BOFYA HAPO JUU KUJUA BAHATI YAKO LEO BUREEE!!;
Washiriki ni wengi;FANYA CHAP!!!
Post a Comment