Nifanyeje ili Matiti Yangu Yasilale?
Najua hili ni moja kati ya maswali ambayo wasichana wengi hupata kujiuliza, hasa kwa wale walio katika umri mdogo na wa kati wa kuanzia miaka 16 hadi miaka 30 kwani wao huwa ni group kubwa la watu wasiopenda kabisa kuona maumbile yao muhimu katika miili yao yanakuwa katika hali ambayo huwafanya wasiwe na kujiamini na kujisikia vizuri waonapo sehemu za miili yao haipo sawa na matamanio yao.
Nifanye nini kama Matiti yangu yamelala?
Kama matiti yamekwisha lala, unaweza kufuata maelezo yafuatayo ambayo yatakusaidia kwa kufanya chuchu za Nyonyo zilizo lala Kusimama
Lala Kifudifudi
Hakikisha mtindo wako wa kulala unakuwa ni kulala kifudifudi. (Yaani kulalia tumbo),
Kulala kwa staili hiyo kutasaidia kwa kiasi kikuwa kufanya matiti yako ya-Relax (pumzike).
Pia kwa kulala hivyo, Hakutakuwa na kuning'inia kwa Nyonyo/matiti kama utakuwa umelala chali ( kulalia mgongo) au kulala kiubavu.
Njia ya kwanza.
Simama wima dhidi ya mlango au ukuta kisha egesha matiti yako mahali hapo kwa nguvu kisha achia kwa kujitoa ukutani.
Zoezi hili hufanya matiti yaume sana lakini wewe kama dada jipe moyo kwa kuwa mvumilivu. Fanya hivyo mara 20 kila asubuhi kwa ajili ya matokeo mazuri.
Njia ya pili.
Simama wima huku mikono yako ikiwa imenyooshwa huku na kule kisha ipeleke mbele nakukutanisha viganja vyako alafu irudishe nyumba kadiri uwezavyo (sio lazima ikutane) ila utahisi maumivu fulani sehemu ya matiti (misuli yafanya kazi hapo).
Fanya hivyo mara 10 na ongeza hesabu kadri siku zinavyoenda.
Njia ya Tatu.
Ukiwa umesimama wima na mikono yako imenyooshwa huku na kule, innyaue taratibu kuelekea juu na kutanisha vidole vyako huko juu kisha rudisha mikono ilipokuwa (imenyooka huku na kule).
Hizo ndizo njia Tatu zinazoweza kusaidia kuyafanya matiti yaliyolala kusimama, na kuzuia matiti kulala.
Ni vyema Tuka-share idea kupiti comment hapa chini..
BOFYA HAPO JUU KUJUA BAHATI YAKO LEO BUREEE!!;
Washiriki ni wengi;FANYA CHAP!!!
Post a Comment